WANARIADHA MADEMU WA UINGEREZA WATESA MBIO ZA KURUKA VIUNZI RIO DE JANEIRO

WANARIADHA wa Uingereza wametesa katika mbio za kuruka viunzi kwa wanawake baada ya Jessica Ennis-Hill kuibuka mshindi akitwaa medali ya dhahabu, huku mwenzake Katarina Johnson-Thompson akishika nafasi ya nne.


Ennis-Hill mwenye miaka 30 ambaye ni bingwa mtetezi alijishindia pointi 72 akimfunika Nafi Thiam wa Ubelgiji na Akela Jonas wa Barbados walioishia kwenye pointi 21.

No comments