WATFORD YAIVAA ARSENAL VITA YA KUMWANIA BEKI MARIO LEMINA WA JUVENTUS

BEKI wa Juventus, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 22 ambaye amekuwa akifukuziwa na Arsenal, ameanza kunyatiwa na timu nyingine ya Watford inayoshiriki Ligi Kuu England.

No comments