Habari

WENGER AFICHUA KUWA ALITAKA KUMSAJILI LIONEL MESSI

on

Newell's Old Boys believe they will sign Lionel Messi before his playing days are over
KOCHA wa Arsenal – Arsene Wenger amekiri kuwa alikuwa na njozi za kumsajili Lionel Messi zaidi ya miaka mitano iliyopita, lakini ndoto yake hiyo ikayeyuka kama barafu kwenye jua.
Katika mpango wake wa miaka mitano nyuma, Wenger alikuwa akimfukuzia
mkali huyo wa Barcelona, lakini mkakati wake huo ulizimwa bila ya mafanikio.
Hadi leo Wenger anaendelea kukiri kuwa yeye ni shabiki wa nyota huyo wa kimataifa wa Argentina.
Messi alikuwa na miaka 15 wakati  akiwa ndani ya academy ya Barcelona sambamba na Gerrad Pique na Cesc Fabregas ambao Wenger alitaka kuwanyakua wote watatu lakini akaambulia kumpata Fabregas huku Pique akienda Manchester United na Messi kusalia Barcelona.
“Nadhani Messi hakutaka kujiunga nasi,” anasema Wenger.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *