WES MORGAN AKIRI NI NGUMU KWA LEICESTER CITY KURUDIA REKODI YA KUTWAA TENA UBINGWA LIGI KUU eNGLAND

NAHODHA wa Leicester City, Wes Morgan amesema kuwa ndoto za timu yao ni kutwaa taji la Ligi Kuu England kwa mara ya pili mfululizo lakini anakiri kuwa itakuwa ngumu kwao kurudia rekodi hiyo.

No comments