WINGA kutoka Denmark, Christian Eriksen huenda akaihama klabu yake ya Tottenham Hotspurs na kwenda nchini Italia ambako anawaniwa na timu za Juventus na Inter Milan.


Mchezaji huyo alijikuta akifungiwa vioo na viongozi wa timu hiyo baada ya kuomba alipwe pauni 150,000 kwa wiki katika mkataba wake mpya.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac