YANNICK BOLASIE ANUKIA EVERTON... asafiri jijini Merseyside kufanyiwa vipimo vya afya

WINGA Yannick Bolasie huenda akawa mali halali ya Everton baada ya kuibuka taarifa za mtandao wa Sky Sport kuwa Mkongoman huyo alisafiri kwenda jijini Merseyside kwa ajili ya kufanyiwa vipimo Jumapili iliyopita.


Bolasie atakuwa mchezaji wa Everton baada ya kukubali kusaini mkataba na dili lake linatajwa kigharimu klabu hiyo kiasi cha pauni mil 28.

No comments