ZABALETA ASEMA MASHABIKI, UZALENDO VIMEMFANYA ASIHAME MANCHESTER CITY

BEKI wa kulia, Pablo Zabaleta ameweka wazi kuwa alipanga kuihama Manchester City lakini mashabiki na uzalendo kwa timu hiyo umemfanya asihame.


Zabaleta alikuwa akihusishwa zaidi na mpango wa kujiunga na klabu ya Roma ya nchini Italia.

No comments