AC MILAN YAJIPANGA KUMNG'OA THIAGO SILVA PSG NA KUMREJESHA SAN SIRO

KLABU ya AC Milan inataka kumrejesha beki wao wa zamani Thiago Silva ambaye hivi sasa anakipiga PSG.


Ikiwa mpango huo utakamilika, nyota huyo atarejea jijini San Siro ikiwa ni miaka mine imepita tangu alipohamia. Paris

No comments