ALEIX VIDAL AKERWA AKERWA KUACHWA NJE YA KIKOSI BARCELONA

BEKI wa kulia Aleix Vidal ambaye ameachwa nje ya kikosi kwa mechi tatu mfululizo huku kiungo Sergi Roberto akicheza nafasi yake ameonyesha kutofurahishwa na hali iliyopo Barcelona akiposti dole la kati bila ya kufafanua.

No comments