Habari

ALEXIS SANCHEZ ATABIRIWA KUWA THIERRY HENRY MPYA ARSENAL

on

Chilean forward Sanchez scored a delightful chip and assisted Mesut Ozil for the third goal
KITENDO cha Arsene Wenger kumchezesha Alexis Sanchez kama mshambuliaji wa kati kimeanza kuwa tishio kwa timu pinzani za Arsenal.
Goli lingine katika mchezo dhidi ya Chelsea limefanya Sanchez afikishe mabao matano msimu huu, achilia mbali mchango wake wa upishi wa mabao mengine yanayofungwa na wenzake.
Sasa nyota huyo anatabiriwa kuwa Thierry Henry  mpya ndani ya Arsenal.
Wenger alimbadili Henry kutoka wingi ya kushoto hadi kuwa mshambuliaji wa kati. Zao lingine la mabadiliko kama hayo linakuja kupitia Sanchez.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *