ALVARO MORATA AFICHUA KUTAKIWA NA CHELSEA MAJIRA YA KIANGAZI KILICHOPITA ...

NYOTA Alvaro Morata ametoboa siri kuwa wababe wa Magharibi mwa London, Chelsea walipanga kumsajili wakati wa majira ya kiangazi walikuwa tayari wameweka mezani kitita cha pauni mil 60.

Mkali huyo alitua Real Madrid kwa pauni mil 23 ikiwa ni sehemu ya mkataba wake na klabu hiyo iliyomuuza awali kwenda Juventus.

No comments