Habari

ANTOINE GRIEZMANN AFICHUA KUCHOMOA MAZUNGUMZO NA PSG KIANGAZI KILICHOPITA

on

MSHAMBULIAJI wa klabu ya
Atletico Madrid, Antoine Griezmann mwenye umri wa miaka 25, ambaye anahusishwa
kutakiwa na Manchester United, aliipiga chini ofa ya kukaa mezani kwa ajili ya
mazungumzo ya kutua katika klabu ya PSG kwenye dirisha la usajili wa majira
ya kiangazi.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *