Habari

ANTONIO CONTE AMTAKA SENTAHAFU MICHAEL KEANE WA BURNLEY

on

ANTONIO CONTE anataka kumsajili sentahafu has wa Burnley  Michael Keane ili kutibu ‘gonjwa’ la kupwaya kwa safu ya ulinzi ya Chelsea.
Beki huyo wa zamani wa Manchester United mwenye umri wa miaka 23 ataigharimu Chelsea pauni milioni 25 baada ya Burnley kukataa ofa ya pauni milioni 15 kutoka kwa vilabu kadhaa majira ya kiangazi wakiwemo mabingwa wa Premier League Leicester City. 
Burnley defender Michael Keane is a target for Chelsea manager Antonio Conte
 Michael Keane anasakwa na Chelsea 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *