ANTONIO CONTE ASEMA CHELSEA NI NZURI MAGAZETINI, SIO UWANJANI

Antonio Conte was left frustrated after watching his side lose 3-0 away to Arsenal


POINTI moja katika mechi tatu za mwisho za Premier League pamoja na kiwango kingine cha chini kutoka safu ya ulinzi ya Chelsea, imepelekea kocha  Antonio Conte kushuka na onyo kali.

"Sisi ni timu bora magazetini, lakini sio uwanjani," alisema Conte. Nataka tuwe na timu bora siyo gazetini tu bali  hadi uwanjani. Uwanja ndio msema mkweli.

"Dimbani ndiyo sehemu muhimu zaidi kwetu, sio maneno, sio magazetini. Tunapaswa kubadili hali hii, tunapaswa kujituma"
No comments