ARSENAL SASA WAMNYATIA KARIM BENZEMA... wameweka mezani kitita cha pauni mil 40 kuhakikisha wanamnasa

MTANDAO wa Daily Star umenyetisha kuwa kocha Arsene Wenger yuko mbioni kuhakikisha anamnasa staa wa Real Madrid, Karim Benzema katika usajili ujao.

Tarifa zimedai kuwa Arsenal wako tayari kumsajili mpachika mabao huyo na wameweka mezani kitita cha pauni mil 40 kuhakikisha wanakamilisha mpango huo.

No comments