ARSENAL YAMFUKUZIA KINDA FRANCK KESSIE WA IVORY COAST

Wababe wa London klabu ya Arsenal inawafuatilia kwa ukalibu kinda ewa Ivory Coast Franck Kessie mwenye umri wa miaka 19 ambaye anafatilkiwa pia na klabu mbalimbali za Ulaya.


Kessie anaye kipiga katika ya Atalanta kama kiungo amefunga jumra mya mabao manane katika mechi tano hadi sasa na uwezo wake wa kukokota mpira umemfanya aanze kufananishwa na Yaya Toure.

No comments