ARSENE WENGA ASEMA ALIZICHOMOLEA NJE OFA TATU TOFAUTI ZA PSG KUMTAKA LAURENT KOSCIELNY

KOCHA Arsenal Wenger amebainisha kuwa alipokea ofa tatu tofauti kutoka kwa PSG za kutaka kumsajili Laurent Koscielny lakini aliwasisitizia kwamba beki huyo Mfaransa hauzwi.

No comments