ARSENE WENGER AMTABIRIA JACK WILSHERE UKOCHA ARSENAL


KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amedai kuwa kiungo Jack Wilshere, 24, atakuja kuwa kocha wa klabu hiyo baadae licha ya kumtoa kwa mkopo kwenda Bournemourth.

No comments