ARSENE WENGER AZIDI KUMMIMINIA SIFA GRANIT XHAKA

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amezidi kummwagia sifa staa wake mpya Granit Xhaka akisema kuwa atatisha zaidi katika siku za mbeleni zikiwa ni siku chache tangu amfananishe na kiungo wa zamani wa timu hiyo, Emmanuel Petit.

Xhaka amewasili kwenye klabu hiyo akitokea Borrusia Monchengladbach msimu huu kwa ada ambayo inaripotiwa kuwa ni pauni mil 30.

No comments