AUDIO: KAMA BADO HUJAIPATA “ISHU PAMBE” YA SENIOR BACHELOR IPAKUE HAPAHUU ni wimbo uliozua gumzo sana miongoni mwa mashabiki wa taarab, ni kitu “Ishu Pambe” kutoka kwa mwimbaji Senior Bachelor kwa kushirikiana na kundi zima la Majaz Modern Taarab.

Usikilize hapo juu wimbo huo ambao ni utunzi wake Senior Bachelor au Senior Masauti kama anavyojiita mwenyewe.

No comments