BAADA YA FABREGAS, AC MILAN PIA YAMNYATIA CARLOS BACCA

WAKATI klabu ya soka ya AC Milan ya Italia ikitaka huduma ya kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas, matajiri hao wa London pia wanataka kumchukua mshambuliaji wa Milan, Carlos Bacca kwenye dirisha dogo la usajili la Januari.

No comments