BARCELONA BADO HAIJAMKATIA TAMAA MLINZI MARQUINHOS WA PSG

TAARIFA zinasema kwamba klabu ya Barcelona bado inamtaka beki wa kati wa Paris Saint-Germain, Marquinhos na itaweza kumnyakua kwa dau la pauni mil 52 pindi dirisha dogo la usajili wa Januari litakapofunguliwa.

No comments