BARCELONA YAJIULIZA IMEMKOSAJE GABRIEL BARBOSA?

KLABU ya Barcelona ya Hispania bado haijaamini kuwa ni kweli imemkosa mshambuliaji wa Kibrazil aliyekwenda Inter Milan ya Italia, Gabriel Barbosa “Gabigol”.

Barcelona wamejiuliza ilikuwa klabu ya santos ikaamua kumuuza Barbosa kwenda Italia badala ya kuwauzia wao waliotangulia kuwasilisha ofa.

Gabigol alijiunga na Inter Milan kwa ada ya euro mil 25 wiki iliyopita na Barca wanaishutumu Santos kwa madai wamempiga bei mchezaji huyo bila kumshirikisha.


Hata kiwango chake tangu kuiacha England kimezidi kuwa bora kuliko mabeki wote wakali wanaoitwa kuitumikia England na kocha Sam Allardyce amesema ameanza mazungumzo mazito ili kumrudisha kundini.

No comments