Habari

BARCELONA YAONGOZA KUNDI C …pata matokeo ya mechi zote za Ligi ya Mabingwa

on

Barcelona defender Gerard Pique celebrates his  goal against Borussia Monchengladbach during a hard-fought encounter
Gerard Pique ameendelea kuiweka Barcelona kileleni mwa kundi C baada ya kuifungia bao la ushindi kipindi cha pili katika ushindi wa 2-1 dhidi Borussia Monchengladbach.
Barcelona walitiwa mfukoni na timu hiyo ya Ujerumani katika kipindi cha kwanza na kujikuta wakienda mapumziko wakiwa nyuma 1-0 kwa bao la Thorgan Hazard lililowadia katika dakika ya 34.
Arda Turan aliyetokea benchi akaisawazishia Barcelona dakika ya 65 kabla Pique hajatupia bao la pili dakika ya 74.
B. Gladbach (4-2-3-1): Sommer, Christensen, Wendt, Korb, Elvedi, Kramer, Dahoud, Hazard (Herrmann 80), Stindl (Hahn 83), Traore, Raffael (Johnson 48)
Barcelona (4-3-3): Ter Stegen, Pique, Mascherano, Alba, Roberto, Rakitic (Turan 59), Busquets, Iniesta, Luis Suarez, Neymar, Alcacer (Rafinha 59).
Matokeo ya mechi zote za Ligi ya Mabingwa zilizochezwa Jumatano usiku ni kama ifuatavyo:
Champions League – Group A 
Arsenal 2 – 0 Basel
Ludogorets Razgrad 1 – 3 Paris Saint Germain
Champions League – Group B 
Besiktas 1 – 1 Dynamo Kyiv
SSC Napoli 4 – 2 Benfica
Champions League – Group C
Borussia Moenchengladbach 1 – 2 Barcelona
Celtic 3 – 3 Manchester City
Champions League – Group D 
Atletico Madrid 1 – 0 Bayern Munich
FC Rostov 2 – 2 PSV Eindhoven

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *