Bastian Schweinsteiger ametemwa kwenye kikosi cha Manchester United kitakachoshiriki  Europa League hatua ya makundi.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 alitajwa kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo katika Premier League, lakini jina lake si miongoni mwa majina 27 yaliyowasilishwa UEFA kwaajili ya Europa League.

Manchester United ipo kundi moja na Fenerbache, Zorya na Feyenoord, na waatanza kampeni yao Septemba 15 wakati watakojitupa kwenye dimba la  De Kuip huko Rotterdam, Holland kumenyana na Feyenoord.
Bastian Schweinsteiger has been left out of Manchester United's squad for the Europa League
Bastian Schweinsteiger ametemwa na Manchester United kwenye michuano ya  Europa League

NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac