BEKI HECTOR SASA NI UHAKIKA KUDUMU ARSENAL… kocha Luis Enrique amtoa kwenye mahesabu yake


ARSENAL haipaswi kuwa na presha tena ya kumpoteza beki wao, Hector Bellerin kwa Barcelona kwani kocha Luis Enrique sasa anamuona Sergi Roberto kama mrithi wa kudumu wa Dani Alves katika beki ya kulia.

No comments