BEKI SUNDERLAND ASEMA KUTOJUA KIINGEREZA KUNAMGHARIMU KUWASILIANA NA WENZAKE MCHEZONI

MLINZI wa Sunderland, Patrick van Aanholt amefichua kuwa kutojua Kiingereza kunamfanya ashindwe kuwasiliana na wenzake wakati wa mchezo.


Aanhoit raia wa Uholanzi amekuwa tishio kwenye kikosi cha taifa lakini ameshindwa kuonyesha uwezo wake ndani ya Sunderland na kuifanya safu yao ya ulinzi kufungika kirahisi.

No comments