Habari

CELTIC WATIBUA KASI YA MANCHESTER CITY …Guardiola ashindwa kufikia rekodi ya mwaka 1960

on

Silva (left), Bravo and Nicolas Otamendi (right) appeal for the linesman's flag to be raised, but the opening goal stood
CELTIC imetibua kasi ya Manchester City baada ya kulazimisha sare ya 3-3 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa ulichezwa Celtic Park.
Manchester City kama wangeshinda mchezo huu wa 11 mfululizo kwenye mashindano yote, wangefikia rekodi ya England iliyowekwa na Tottenham mwaka 1960.
CELTIC (4-2-3-1): Gordon 7; Lustig 6.5, Toure 6.5, Sviatchenko 7.5, Tierney 7; Brown 6.5, Bitton 6 (Griffiths 84); Forrest 6.5 (Roberts 80), Rogic 7 (Armstrong 57), Sinclair 7.5; Dembele 8 
Wafungaji: Dembele 3, Sterling (la kujifunga) 20
MAN CITY (4-1-4-1): Bravo 5.5; Zabaleta 6, Otamendi 5.5, Kolarov 5.5, Clichy 6 (Stones 73, 6); Fernandinho 6; Nolito 6.5 (Fernando 76, 6), Gundogan 6, Silva 7, Sterling 7; Aguero 6 
Wafungaji: Fernandinho 12, Sterling 28, Nolito 55
Moussa Dembele (right) spreads his arms wide in celebration after putting Celtic 1-0 up inside three minutes in Glasgow
Moussa Dembele (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Celtic bao la kwanza

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *