CHELSEA YAJITOSA KUMNYATIA MARTIN CACERES

BAADA ya kumnasa mlinzi David Luiz katika siku ya mwisho za usajili wa kiangazi, hivi sasa Chelsea wamemgeukia Martin Caceres raia wa Uluguay.


Mchezaji huyo wa zamani wa Juventus alinolewa na Antonio Conte kwenye timu hiyo na sasa kocha huyo anataka kumpeleka Stamford Bridge. 

Klopp anataka kumtumia Luan na Wabrazil wenzake Roberito Firmino na Phillppe Coutinho kuunda safu kali ya ushambuliaji ya Liverpool.

No comments