CHIPUKIZI OXFORD REECE WA WESTHAM AZIBEZA MANCHESTER UNITED, CITY

CHIPUKIZI wa West Ham, Oxford Reece hayuko tayari kuikacha klabu hiyo na kujiunga na Manchester United na Manchester City.


Klabu hizo za jijini Manchester zimeonyesha nia ya kumsajili beki huyo wa kimataifa wa England.

No comments