CHRIS SUTTON AIONDOA MANCHESTER UNITED KWENYE NAFASI YA KUTWAA UBINGWA MSIMU HUU

Nyota wa zamani wa Blackburn Rovers, Chelsea na England, Chris Sutton ameiweka kando Manchgester United katika nafasi ya kutwaa unbingwa wa Ligi Kuu msimu huu.

“Haiwezekani  kabisa Sutton aliandika katika Daily Mail alipokuwa akizungumzia nafasi ya United kutwaa ubingwa.


“Ligi inaendelea sasa, mwenendo wa United hauleti matumaini na sidhani kama kuna nafasi ya kuikamata Manchester City.
Unapopteza mara mbili ndani ya wiki moja unawaondoa hofu wapinzani wako.”

No comments