KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte kwa sasa anatakiwa kuhamisha rada yake ya usajili kutoka italia baada ya klabu ya Lazio kusema kuwa inataka kiasi cha pauni mil 50 ili imwachie beki wao, Stefan de Vrij atue Stamford Bridge.


Katika dirisha la usajili wa majira ya kiangazi, Conto aliisaka bila ya mafanikio saini ya beki wa Napoli, Kalidou Koulibaly na sasa yupo kwenye hatari ya kumkosa na De Vrij kutokana na kiwango kikubwa cha fedha walichokitaja Lazio.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac