Habari

DANGOTE AWEKA HADHARANI NIA YAKE YA KUINUNUA ARSENAL

on

Aliko Dangote has once again expressed his desire to buy Arsenal 'within three to four years'

Aliko Dangote – Tajiri wa Afrika – ameweka wazi dhamira yake ya kuinunua Arsenal ndani ya miaka mitatu au minne ijayo.
Tajiri huyo wa Kinigeria mwenye umri wa miaka 59 ambaye anaaminika kuwa na utajiri wa pauni milioni 8.3, amesema anataka kuinunua Arsenal lakini anahitaji kutazama changamoto za  ubia katika biashara nyingine kabla ya kuelekeza nguvu katika kuinunua klabu hiyo ya washika bunduki wa London.
“Pengine miaka mitatu au minne. Kuna  changamoto ambazo lazima nizimalize kabla sijaaingia kwenye mambo ya Arsenal,” Dangote aliambia Bloomberg.
The 59-year-old billionaire is confident that he can 'run a very successful team'
Aliko Dangote amesema amedhamiria kuinunua Arsenal ndani ya miaka minne ijayo

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *