EVERTON MBIONI KUMNYAKUA KIPA FRASER FORSTER WA SOUTHAMPTON

KOCHA wa Everton, Ronald Koeman anatazamiwa kumnyakua mlinda mlango mahiri wa Southampton, Fraser Forster na ameandaa kiasi cha pauni mil 15 ili kumnasa.

No comments