EVERTON YASHTUKIA MBINU YA REAL MADRID KUTAKA KUMNG'OA ROMELU LUKAKU

KLABU ya Everton imeshitukia mbinu za chinichini zinazofanywa na Real Madrid kutaka kumsajili mshambuliaji wao, Romelu Lukaku.


Mshambuliaji huyo mwenye miaka 23 raia wa Ubelgiji, alikaribia kurejeshwa Chelsea katika usajili uliopita wa kiangazi lakini sasa Everton wanapaswa kufanya kazi ya ziada kuizuia Real ambayo inajua kufungua pochi inapomsaka mchezaji.

No comments