FABREGAS ASEMA ANAAMINI CHELSEA ITAPIGA BAO MECHI ZA MBELENI

KIUNGO mahiri wa Hispania, Cesc Fabregas amesema anaamini Chelsea itafanya vizuri katika mechi zijazo baada ya kutetereka na kupoteza mchezo dhidi ya Liverpool.


Fabregas alisema matumaini yake yanatokana na jinsi ambavyo wachezaji wamezielewa falsafa za kocha wao, Antonio Conte kiasi kwamba hivi sasa hakuna mwenye ndoto za kuondoka tena bali wote wanaelekeza nguvu zaidi katika kuibeba timu.

No comments