FELLAINI AAHIDI MABAO MAN UNITED KUMLIPA MOURINHO FADHILA


KIUNGO wa Manchester United, Marouane Fellaini amesema anaaminiwa na kocha Jose Mourinho hadi anaona kabisa katika hisia zake na kwamba atalipa fadhila hizo kwa kufanya makubwa uwanjani.

No comments