FERNANDO AMMWAGIA SIFA DE BRUYNE AKISEMA NDIYE ANAYEIBEBA MAN CITY KWA SASA

FERNANDO amemsifia Kevin De Bruyne akisema uwezo mkubwa wa kiungo huyo kufanya maanuzi ya haraka ndio unaoibeba Manchester City kwa sasa.

No comments