FILAMU YA “KANEREKODI” YATINGA SOKONI …Irene Uwoya, Riyma Ally, Mzee Majuto balaa tupu humo ndani


JUMATATU hii imeachiwa filamu mpya ya Kibongo iliyosheheni mastaa kibao.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la “KANEREKODI” itakukutanisha na waigizaji kama Irene Uwoya, Riyma Ally, Mzee Majuto, Baba Haji, Barafu, Mbweze, Esther Kiyama, Badra na Omar Clyton.

Editor na mpiga picha maarufu Said Abdallah “Mangush” ndiye aliyesimama kama producer wa filamu hii inayosambazwa na Halisi Film Lab.

No comments