FRANK RIBERY ATAMANI KUENDELEA KUKIPIGA BAYERN MUNICH

STAA Frank Ribery anaamini atasaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga katika klabu yake ya Bayern Munich.


Mkataba wa Mfaransa huyo unatazamiwa kufikia tamati mwishoni mwa msimu huu na ameeleza nia yake ya kuendelea kukipiga Allianz Arena.

No comments