GUARDIOLA AJIANDAA KUMLAMBISHA ALEKSANDAR KOLAROV MKATABA MPYA

BEKI wa Manchester City Aleksandar Kolarov anajiandaa kusaini mkataba mpya wa hadi 2018 kutokana na kuanza msimu vyema kwa mujibu wa kocha Pep Guardiola.

No comments