GUARDIOLA AJISAFISHA KWA ZLATAN IBRAHIMOVIC


KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema daima alikuwa “muwazi na mkweli” kwa straika wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, 34, wakati wakiwa pamoja Barcelona, licha ya Msweden huyo kudai kinyume chake.

No comments