GUNDOGAN ASEMA HAKUNA KINACHOWEZA KUMKINGA KUREJESHA MAJESHI BORUSSIA DORTMUND

KIUNGO wa Manchester City, Ilkay Gundogan amesema hakuna kinachoweza kumzuia kurudi katika klabu yake ya zamani ya Borussia Dortmund katika siku za usoni.


Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25, aliwakacha wababe hao wa Bundesliga na kutua Etihad kwa ada ya uhamisho pauni mil 20.

No comments