HATEM BEN ARFA ALIYECHEMSHA PSG SASA MBIONI KUJIUNGA SOUTHAMPTON

TAARIFA zimedai kuwa kiungo hatari raia wa Ufaransa, Hatem Ben Arfa anaweza kujiunga na Southampton baada ya kuchemsha Paris Saint-Germain.


Imeelezwa kuwa Southampton wanataka kumsajili staa huyo pindi dirisha dogo la usajili la Januari litakapofunguliwa.

No comments