HATIMAYE MOURINHO AMPIGA BENCHI ROONEY ...awapa shavu Lingard na Rashford

Wayne Rooney has found it tough to cope with recent criticism, admits Jose Mourinho


MANCHESTER UNITED imedhamiria kuhakikisha inafuta 'nuksi' ya kufungwa nyumbani na Manchester City pale watakapoikabili  Leicester City dakika chache zijazo ndani ya Old Trafford.

Katika mpango huo, kocha Jose Mourinho amekubali kiaina ushauri wa wachambuzi wa soka na kumpiga benchi nahodha Wayne Rooney na badala yake kuwaanzisha washambuliaji chipukizi Lingard na Rashford

Kikosi kitakachoanza ni kwa Manchester United ni: De Gea, Valencia, Bailly, Smalling, Blind, Ander Herrera, Pogba, Lingard, Mata, Rashford, Ibrahimovic.

Wachezaji wa akiba: Rojo, Rooney, Carrick, Young, Romero, Fosu-Mensah, Fellaini

No comments