Habari

HAYA NDIO MATOKEO YA RAFU YA SUAREZ KWA FILIPE LUIS …mwenyewe atoa majibu ya ‘kunya’

on

Luis posted a picture on Instagram of his injury, sustained in the challenge with Suarez
Luis Suarez amemwambia  Filipe Luis aache mambo ya kitoto mara baada ya beki huyo wa Atletico Madrid kuweka mtandanoni picha inayoonyesha mguu wake ulivyojeruhiwa na njumu za mshambuliaji huyo wa Barcelona.
Wachezaji hao walikumbana kwenye mchezo wa La Liga ulioisha kwa sare ya 1-1 Jumatano usiku ambapo baadae beki huyo wa Kibrazil akaweka picha mtandaoni na kuonyesha mguu wake ulioumia na kuandika: “Kazi nzuri, hakunigusa”.
Suarez alilambwa kadi ya njano kwa tukio hilo lililotokea kipindi cha pili wakati nyota hao wakiwania mpira. 
Suarez amejibu mapigo kwa kusema: “Soka ni kwaajili ya wanaume na mambo kama haya yalipaswa kuachwa uwanjani.
“Kama kila mtu angekuwa anafanya hivi basi kungezagaa picha za kila namna. Umeshawahi kumuina Messi akiweka picha ya vitu kama hivyo? Hapana, huu mchezo ni kwa wanaume.”
Filipe Luis goes flying after a foul by Luis Suarez during Atletico Madrid's trip to Barcelona
Filipe Luis akiruka juu baada ya kufanyiwa faulo na Luis Suarez 
Luis posted a picture on Instagram of his injury, sustained in the challenge with Suarez
Luis amepost picha hii Instagram akionyesha jeraha alilipata kwa faulo ya Suarez
The Uruguayan is pictured connecting with the Brazilian's right foot during the game
Suarez akikwaana na Filipe Luis

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *