Habari

HERRERA NA RASHFORD WAMPA AHUENI MOURINHO MANCHESTER UNITED IKIICHAPA NORTHAMPTON 3-1

on

 Ashley Young is among the Manchester United players to celebrate with Carrick, who scored in the 17th minute
MANCHESTER UNITED imemaliza gundu la ukame wa ushindi baada ya kuichapa Northampton Town 3-1 kwenye mchezo wa EFL Cup.
United ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa Michael Carrick kunako dakika ya 17 lakini Northampton wakasawazisha dakika ya 42 kwa shuti la penalti ya Alexander Revell.
Kiungo Ander Herrera na mshambuliaji kinda Marcus Rashford ndiyo waliompa ahueni kocha Jose Mourinho kwa kufunga mabao ya ushindi dakika ya 68 na 75.
NORTHAMPTON (4-2-3-1): Smith 4; Moloney 5, Diamond 6, Zakuani 6, Buchanan 6; Beautyman 5 (O’Toole 54mins, 5), McCourt 6 (Richards 73, 5); Hoskins 7, Taylor 6, Gorre 6 (Potter 65); Revell 6.
MANCHESTER UNITED (4-3-3): Romero 6; Fosu-Mensah 6 (Rashford 54, 6); Smalling 6, Blind 5, Rojo 5; Herrara 7.5, Carrick 7, Schneidelin 6 (Fellaini 73, 6); Young 7, Rooney 5, Depay 4.5 (Ibrahimovic 54, 6).
Ander Herrera celebrates with fellow scorer Marcus Rashford during Manchester United's 3-1 victory 
Ander Herrera akishangilia na Marcus Rashford 
The Spaniard slides on his knees after putting his side back in the lead with a long-range effort past Adam Smith
Ander Herrera  akishangilia bao la pili
Substitute Rashford capitalised on a Smith mistake by chasing a loose ball before scoring into an empty net
Rashford akiipatia United bao la tatu baada ya kumshinda maarifa kipa Smith
Michael Carrick is surrounded by his Manchester United team-mates after opening the scoring at Northampton
Michael Carrick akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia United bao la kwanza

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *