Habari

HII NDIO SABABU YA ARSENAL KUVAA JEZI ZA UGENINI KWENYE UWANJA WAO WA NYUMBANI DHIDI YA BASLE

on

ARSENAL ililazimika kuvaa jezi zake za ugenini licha ya kucheza kwenye uwanja wake wa nyumbani Emirates Stadium Jumatano usiku katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Basle.
Katika mchezo huo ulioshuhudia wenyeji wakiibuka na ushindi wa 2-0, Arsenal ikavaa jezi za njano badala ya nyekundu kama ilivyo ada yao wanapokuwa Emirates.
Basle wanavaa jezi ambayo kwa sehemu kubwa inatawaliwa na rangi nyekundu na hivyo wakalazimika kuvaa jezi zao za ugenini (nyeupe) ambazo nazo zilionekana kushabihiana mikononi na jezi nyekundu za Arsenal.
Klabu hiyo ya Uswisi ikatakiwa ivae jezi zao za pili wanazotumia ugenini lakini kwa bahati mbaya hawakusafiri nazo na hivyo ikawalazimu Arsenal kutinga uzi wao wa njano.
Arsenal wore their yellow away kit for the home Champions League clash with Basle
Arsenal walilazimika kuvaa jezi zao njano
Kushoto ni jezi ya Basle inavyoonekana na kulia ni jezi ya Arsenal
It all means the Gunners faced the unusual situation of wearing a change kit in a home game
Vijana wa Wenger walilazimika kurejea kabatini na kuvaa jezi zao za ugenini
Mesut Ozil (centre) in the yellow kit at The Emirates on Wednesday evening
Mesut Ozil (katikati) akichuana na msitu wa wachezaji wa Basle

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *