INTER MILAN KUMPIGA BEI MARCELO BROZOVIC

KLABU ya Inter Milan imetajwa kuwa mbioni kumuuza staa wake, Marcelo Brozovic ambaye saini yake inasakwa vikali na klabu za Ligi Kuu England.


Chelsea na Tottenham ni miongoni mwa klabu vigogo zinazomfukuzia staa huyo raia wa Croatia ambaye amekosa uhakika wa namba chini ya kocha mpya Mholanzi Frank De Boer.

No comments