ISCO RUKSA KWENDA ARSENAL MWEZI JANUARI


MIAMBA ya soka nchini Hispania, klabu ya Real Madrid imeripotiwa kumpa ruhusa kiungo wao, Isco anayefukuziwa kwa muda mrefu na timu za Arsenal na Tottenham kuondoka mwezi Januari mwakani pindi dirisha dogo la usajili litakapokuwa wazi kwa mara nyingine.

No comments